COOLING SYSTEM ( MFUMO WA UPOZAJI )

Mfumo huu wa upozaji katika Magari makubwa (Truck Car) upo wa aina mbili.

1. Upozaji kwa kutumia maji.
2. Upozaji kwa kutumia hewa.
Leo tuangalie mfumo wa upozaji kwa kutumia maji katika Injini za magari makubwa kwa njia ya mchoro.

1 comment: